Sun Oct 11 2020 17:41:19 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 17:41:20 +01:00
parent 703b21d84b
commit 7750e337e8
4 changed files with 5 additions and 2 deletions

View File

@ -1,2 +1 @@
\v 4 4 Akawakusanya wakubwa wote wa makuhani na walimu wa Sheria kwa kuwauliza wapi Kristo atakapozaliwa. 5 \v 5 Nao wakamujibu: Betelehemu katika Yudea, kwa maana ilisemwa hivi kwa njia ya nabii:
6 \v 6 «Ewe Betelehemu, katika inchi ya Yuda, wewe si mudogo kabisa kati ya miji mikubwa ya Yuda, maana ndani yako atatoka mutawala, atakayechunga watu wangu, ndio Waisraeli.»
\v 4 Akawakusanya wakubwa wote wa makuhani na walimu wa Sheria kwa kuwauliza wapi Kristo atakapozaliwa. \v 5 Nao wakamujibu: Betelehemu katika Yudea, kwa maana ilisemwa hivi kwa njia ya nabii: \v 6 «Ewe Betelehemu, katika inchi ya Yuda, wewe si mudogo kabisa kati ya miji mikubwa ya Yuda, maana ndani yako atatoka mutawala, atakayechunga watu wangu, ndio Waisraeli.»

1
02/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Basi Herode akawaita kwa siri wale wenye elimu kusudi wamujulishe hakika wakati gani nyota ile ilipotokea. \v 8 Kisha akawatuma Betelehemu, akiwaambia: «Mwende mupeleleze habari kamili za mtoto yule. Nanyi mutakapomwona munijulishe kusudi mimi vilevile niende kumwabudu.»

1
02/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Kisha kumusikiliza mfalme, wakaondoka. Ile nyota waliyoiona tokea mashariki iliwatangulia, nayo ikaenda na kusimama juu ya pahali mtoto alipokuwa. 10 Na wakati walipoiona wakafurahi sana.

View File

@ -50,6 +50,8 @@
"01-24",
"02-title",
"02-01",
"02-04",
"02-07",
"03-title",
"03-01",
"03-04",