Sun Oct 11 2020 17:39:19 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 17:39:20 +01:00
parent c94d8cce5a
commit 703b21d84b
3 changed files with 4 additions and 0 deletions

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 2 \v 1 Yesu alizaliwa Betelehemu katika Yudea wakati wa utawala wa mfalme Herode. Kisha kuzaliwa kwake, watu wenye elimu kutoka mashariki wakafika Yerusalema. \v 2 Nao wakauliza: «Yuko wapi yule mtoto aliyezaliwa kuwa mfalme wa Wayuda? Tumeona nyota yake inayomutambulisha, nasi tumekuja kumwabudu.» \v 3 Mfalme Herode aliposikia maneno haya, akafazaika sana pamoja na wakaaji wote wa Yerusalema

2
02/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\v 4 4 Akawakusanya wakubwa wote wa makuhani na walimu wa Sheria kwa kuwauliza wapi Kristo atakapozaliwa. 5 \v 5 Nao wakamujibu: Betelehemu katika Yudea, kwa maana ilisemwa hivi kwa njia ya nabii:
6 \v 6 «Ewe Betelehemu, katika inchi ya Yuda, wewe si mudogo kabisa kati ya miji mikubwa ya Yuda, maana ndani yako atatoka mutawala, atakayechunga watu wangu, ndio Waisraeli.»

View File

@ -49,6 +49,7 @@
"01-22",
"01-24",
"02-title",
"02-01",
"03-title",
"03-01",
"03-04",