Sun Oct 11 2020 17:55:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 17:55:21 +01:00
parent 2e76381d5a
commit 606c6a14b3
4 changed files with 6 additions and 2 deletions

View File

@ -1,2 +1 @@
19 Herode alipokuwa amekwisha kufa, malaika wa Bwana akamutokea Yosefu katika ndoto kule Misri. 20 Akamwambia: «Amuka, utwae mtoto pamoja na mama yake, na urudie nao katika inchi ya Israeli, kwa maana wale waliotafuta kumwua wamekwisha kufa.»
21 Basi Yosefu akaamuka, akamutwaa mtoto pamoja na mama yake na kurudia katika inchi ya Israeli. 22 Lakini aliposikia kwamba Arkelao alitawala katika jimbo la Yudea kwa pahali pa baba yake Herode, Yosefu akaogopa kwenda kule. Na alipokwisha kuonywa katika ndoto, akaenda katika jimbo la Galilaya. 23 Kule akakaa katika mji ulioitwa Nazareti, kusudi yatimie maneno yaliyosemwa kwa njia ya manabii: «Ataitwa mtu wa Nazareti.»
\v 19 Herode alipokuwa amekwisha kufa, malaika wa Bwana akamutokea Yosefu katika ndoto kule Misri. \v 20 Akamwambia: «Amuka, utwae mtoto pamoja na mama yake, na urudie nao katika inchi ya Israeli, kwa maana wale waliotafuta kumwua wamekwisha kufa.» \v 21 Basi Yosefu akaamuka, akamutwaa mtoto pamoja na mama yake na kurudia katika inchi ya Israeli.

1
02/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Lakini aliposikia kwamba Arkelao alitawala katika jimbo la Yudea kwa pahali pa baba yake Herode, Yosefu akaogopa kwenda kule. Na alipokwisha kuonywa katika ndoto, akaenda katika jimbo la Galilaya. \v 23 Kule akakaa katika mji ulioitwa Nazareti, kusudi yatimie maneno yaliyosemwa kwa njia ya manabii: «Ataitwa mtu wa Nazareti.»

1
06/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 6

View File

@ -57,6 +57,8 @@
"02-13",
"02-16",
"02-17",
"02-19",
"02-22",
"03-title",
"03-01",
"03-04",
@ -96,6 +98,7 @@
"05-40",
"05-43",
"05-46",
"06-title",
"07-title",
"07-01",
"07-03",