Sat May 30 2020 17:05:31 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-05-30 17:05:33 +01:00
parent e5d83cf1f0
commit 0d6d5602f7
5 changed files with 7 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 23 \v 24 Yesu aka bambia, ni magumu ku mutajiri kwingia katika wa mbingini. Tena na baambia, ni rahisi kwa ngamia kupita ndani yu tundu la simdano, kuliko kwa mutajiri kuingia katika ufalme wa mungu.
\v 23 Yesu aka bambia, ni magumu ku mutajiri kwingia katika wa mbingini. \v 24 Tena na baambia, ni rahisi kwa ngamia kupita ndani yu tundu la simdano, kuliko kwa mutajiri kuingia katika ufalme wa mungu.

1
19/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Wakati bana funzi balisikia hiyi neno, baka shangala sana na bana sema; "nani basi mwenye atapona?" \v 26 Yesu aka baangalia na kusem, "kwa banadamu hile hai wezekana". \v 27 Kisha Petro aka mujibu na akamwambia, " tunaocha yote na tunakuata wewe. Tutapata nini?"

1
19/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Yesu akamwambia, "ju kweli na maambia, niye benye bulinifuata, katika uzao mupya wakati mwana wa Adam ataikala mu kiti ya enzi ya utukufu yake, niny vite mutaketi julu beti kumi na mbili ya enzi, kubahukumu makabili kumi na mbili ya Israeli.

1
19/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 Kila mutu ndani yenu mwenye ataacha bitu yake yote ju jina yangu, atapata mala mia na ku urith uzima wa milele. \v 30 Lakini mingi batikuwa ba kwanza sasa, batukuwa bamwisho, na bawisho bata kuwa bakwanza.

View File

@ -221,6 +221,9 @@
"19-16",
"19-18",
"19-20",
"19-23",
"19-25",
"19-28",
"20-title",
"20-01",
"20-03",