swc_mat_text_reg/19/25.txt

1 line
269 B
Plaintext

\v 25 Wakati bana funzi balisikia hiyi neno, baka shangala sana na bana sema; "nani basi mwenye atapona?" \v 26 Yesu aka baangalia na kusem, "kwa banadamu hile hai wezekana". \v 27 Kisha Petro aka mujibu na akamwambia, " tunaocha yote na tunakuata wewe. Tutapata nini?"