forked from WA-Catalog/sw_tn
37 lines
1.0 KiB
Markdown
37 lines
1.0 KiB
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
|
|
|
# Kwa mwanamuziki mkuu
|
|
|
|
"Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu"
|
|
|
|
# weka katika Yothani elemu rehokimu
|
|
|
|
Hii inaweza kuwa inaeleza mtindo au tuni ya muziki ya kutumia wakati wa kuimba zaburi hii. "Imba zaburi hii kwa kutumia tuni ya "Yothani elemu rehokimu" au "Imba kwa kutumia mtindo wa Yothani elemu rehokimu"
|
|
|
|
# Yothani elemu rehokimu
|
|
|
|
Hii inaweza kumaanisha "Njiwa katika Miti ya Mwaloni ya Mbali."
|
|
|
|
# Zaburi ya Daudi
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
|
|
|
|
# Michtamu
|
|
|
|
Maana ya neno "michtamu" haieleweki. Hii inaweza kuandikwa kama: "Hii ni zaburi ambayo Daudi aliandika."
|
|
|
|
# wakati Wafilisti walipomchukua Gathi
|
|
|
|
"Wafilisti walipomkamata Gathi"
|
|
|
|
# wanakandamiza shambulio lao
|
|
|
|
"wanakuja karibu na karibu ili kunishambulia"
|
|
|
|
# Adui zangu wananikanyaga
|
|
|
|
Shambulio kali la adui linazungumziwa kana kwamba walikuwa wakitumia mwili wake kutembea. "Adui zangu wananishambulia sana"
|
|
|