forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
556 B
Markdown
25 lines
556 B
Markdown
# watu hawa...kazi yao...wana
|
|
|
|
Hawa inarejea kwa watu waovu.
|
|
|
|
# wa saba katika orodha ya Adamu
|
|
|
|
Kizazi cha saba kutoka kwa Adamu. Baadhi ya tafsiri husema sita katika orodha ya Adamu inategemeana kama Adamu anahesabika kama kizazi.
|
|
|
|
# Tazama, Bwana
|
|
|
|
"taarifa, Bwana", au "tazama, bwana"
|
|
|
|
# mambo yote magumu
|
|
|
|
"maneno yote makali"
|
|
|
|
# manung'uniko, walalamikao
|
|
|
|
Watu walio na moyo usio na utii. Wanung'unikao huwa wanafanya hivi kimya kimya, Walalamikao hufanya hivi kwa uazi zaidi.
|
|
|
|
# wajivunao mno
|
|
|
|
Watu wanao jisifu wenyewe ili kwamba wengine wawasikie.
|
|
|