forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
843 B
Markdown
33 lines
843 B
Markdown
# Abimeleki akasema
|
|
|
|
"Abimeleki akasema kwa Abrahamu"
|
|
|
|
# Tazama
|
|
|
|
Hapa na katika mstari wa 16 neno "tazama" linaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho.
|
|
|
|
# Nchi yangu i mbele yako
|
|
|
|
Hii ni njia ya kusema "ninaifanya nchi yangu yote iwe wazi kwako"
|
|
|
|
# Kaa mahali utakapopendezewa
|
|
|
|
"ishi popote upendapo"
|
|
|
|
# elfu
|
|
|
|
"1,000"
|
|
|
|
# ni kwa ajili ya kufunika kosa lolote dhidi yako machoni pa wote walio pamoja na wewe
|
|
|
|
Kutoa fedha kuthibitisha kwa wengine ya kwamba Sara hana hatia inazungumzwa kana kwamba anaweka mfuniko juu ya kosa ili mwingine asilione. "Ninampatia hili kwake, ili kwamba wale ulionao wajue haujafanya kosa"
|
|
|
|
# machoni
|
|
|
|
Hapa "macho" ina maana ya mawazo na fikra za mtu.
|
|
|
|
# mbele ya kila mtu ambaye umemfanya kuwa na haki
|
|
|
|
Msemo huu wa "umemfanya kuwa na haki" unaweza kuwa katika hali ya kutenda. "kila mtu atajua ya kwamba huna hatia"
|
|
|