forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
399 B
Markdown
17 lines
399 B
Markdown
# Kuangalia
|
|
|
|
Hii inamaanisha mtumishi alikuwa akiangalia kwa mbali wakati akilinda katika ukuta wa mji.
|
|
|
|
# Kuinua macho yake
|
|
|
|
Hapa mtumishi anaangalia juu ya kitu kinachozungumziwa kama aliinua macho yake.
|
|
|
|
# Hivyo ikawa
|
|
|
|
Kifungu hiki inatambulisha jambo linalofuata katika habari.
|
|
|
|
# Wakainua sauti zao
|
|
|
|
Hapa wana kulia kwa sauti kunasemwa kama vile sauti zao zilikuwa kitu kilichoinuliwa angani.
|
|
|