forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
992 B
Markdown
33 lines
992 B
Markdown
# Abramu akainama uso wake hadi chini ardhini
|
|
|
|
"Abramu alijirusha uso chini ya ardhi" au "Abrahamu aliinama chini mara moja uso ukiwa ardhini." Alifanya hivi kuonyesha ya kuwa alimheshimu Mungu na angemtii.
|
|
|
|
# Mimi
|
|
|
|
Mungu alitumia msemo huu kutambulisha kile alichoenda kukifanya kwa Abramu kama sehemu ya agano lake na Abramu.
|
|
|
|
# tazama, agano langu liko nawe
|
|
|
|
Neno "tazama" hapa linasema ya kwamba kinachofuata ni cha uhakika: "agano langu na wewe ni la uhakika"
|
|
|
|
# baba wa mataifa mengi
|
|
|
|
"baba wa idadi kubwa ya mataifa" au "yule ambaye mataifa mengi yatajiita"
|
|
|
|
# Abrahamu
|
|
|
|
Watafsiri wanaweza kuongeza maandishi yafuatayo: Jina "Abramu" lina maana ya "baba aliyeinuliwa" na jina "Abrahamu" linafanana na "baba wa kundi"
|
|
|
|
# Nitakufanya uwe na uzao mwingi
|
|
|
|
"Nitakusababisha uwe na vizazi vingi sana"
|
|
|
|
# nitakufanya mataifa
|
|
|
|
"Nitasababisha vizazi vyako kuwa mataifa"
|
|
|
|
# wafalme watatoka kwako
|
|
|
|
"miongoni mwa vizazi vyako kutakuwa na wafalme" au "baadhi ya vizazi vyako kutakuwa na wafalme"
|
|
|