forked from WA-Catalog/sw_tn
37 lines
863 B
Markdown
37 lines
863 B
Markdown
# Yanne na Yambre
|
|
|
|
Majina haya mawili yanapatikana kwenye Biblia tu. Moja ya Mila inawaita kama waganga wa Misri waliokuwa wakimpinga Musa katika kitabu cha Kutoka 7-8.
|
|
|
|
# Walisimama Kinyume
|
|
|
|
" Kupinga"
|
|
|
|
# Sentensi unganishi
|
|
|
|
Paulo anawapa mfano wa walimu wawili wa uongo toka nyakati za Musa na kuonyesha namna watu watakavyokuwa. Anamsisitiza Timotheo kufuata mfano wa Paulo na kukaa katika neno la Mungu.
|
|
|
|
# wako kinyume na kweli
|
|
|
|
"wanapinga injili ya Yesu"
|
|
|
|
# Wamepotoka akili zao
|
|
|
|
"Hawawezi kufikiri kwa usahihi tena"
|
|
|
|
# Kuendelea
|
|
|
|
" Kusonga mbele/ kupiga hatua"
|
|
|
|
# Upumbavu
|
|
|
|
"Kutokuwa na uelewa" au " Upuuzi"
|
|
|
|
# Dhahiri
|
|
|
|
"kuonekana wazi" au "kueleweka wazi"
|
|
|
|
# Wasiokubalika kutokana na imani
|
|
|
|
Wanajaribiwa ni kwa namna gani wanamwamini Kristo na kumtii yeye na wakashindwa jaribu hilo. "bila imani ya kweli" au "wamethibitisha kuwa imani yao sio thabiti"
|
|
|