forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
558 B
Markdown
17 lines
558 B
Markdown
# magonjwa au ukungu
|
|
|
|
haya nimajina ya magonjwa ya mazao ya kilimo yanayomaanisha kifo cha mazao kutokana uhaba wa mvua au mvua iliyozidi.
|
|
|
|
# nzige au funza
|
|
|
|
"nzige" niaainaya panzi ambaye husababisha uharibifu kwa njia ya kula mazao, Neno "funza" ni hatua ya mwanzo wa kukua kwa nzige.
|
|
|
|
# na kama kuna mtu au watu wataomba
|
|
|
|
mtu au watu wako wote wa Israeli, wataomba na kukupa dua"
|
|
|
|
# akaijua hiyo tauni katika moyo wake
|
|
|
|
Hii inaweza kumaanisha 1) "kuijua dhambi katika moyo wake" au 2) "kujua katika moyo wake kwamba ile tauni ni matokeo ya dhambi yake
|
|
|