forked from WA-Catalog/sw_tn
50 lines
1.5 KiB
Markdown
50 lines
1.5 KiB
Markdown
# Paulo mfungwa wa Kristo Yesu, na Timotheo ndugu yetu kwa Filemoni
|
|
|
|
Lugha yako inaweza kuwa na njia maalum kwa mwandishi kujieleza kwa barua. "Sisi, Paulo, mfungwa wa Kristo Yesu, na Timotheo, ndugu yetu, naandika hii barua kwa Filemoni."
|
|
|
|
# mfungwa wa Kristo Yesu
|
|
|
|
"Mtu aliyefungwa kwa kufundisha kuhusu Yesu Kristo."
|
|
|
|
# ndugu
|
|
|
|
Hapa hii inamaanisha mkristo mwenzake.
|
|
|
|
# na mtendakazi mwenzetu
|
|
|
|
"Aliye, kama sisi, anakazi ya kueneza injili"
|
|
|
|
# Afia dada yetu
|
|
|
|
Hii inamaanisha "Afia mkristo mwenzetu" au "Afia dada yetu kiroho"
|
|
|
|
# Arkipo
|
|
|
|
Hili ni jina la mtu
|
|
|
|
# Askari mwenzetu
|
|
|
|
Hapa ni "askari" ni fumbo inayomuelezea mtu anayepambana kwa kueneza injili. "Mwenzetu shujaa kiroho "au pia mpambanaji katika vita vya kiroho pamoja nasi."
|
|
|
|
# neena iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo
|
|
|
|
"Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo awape neema na amani."Hii ni baraka. Neno "kwenu" ni kwa wengi na inarejea kwa watu wote waliosalimiwa na Paulo katika mstari wa 1 na 2.
|
|
|
|
# Sentensi unganishi
|
|
|
|
Paulo amedhihirisha mara tatu kuwa yeye ni mwandishi wa barua hii. Timotheo alikuwa naye na aliandika maneno aliyoambiwa na Paulo. Paulo aliwasalimia waliokutana kusali katika nyumba ya Filemoni.
|
|
|
|
# Maelezo ya jumla
|
|
|
|
Neno "mimi" linamaanisha Paulo. Filemoni ni mtu ambaye aliandikiwa barua hii. Sehemu zote zilizoandikwa
|
|
"wewe" zinamuelezea Filemoni.
|
|
|
|
# Maelezo ya jumla
|
|
|
|
Neno "yetu" inawajumuisha Paulo, Filemoni na waamini wa kanisa waliokuwa wakikutana kwenye nyumba ya Filemoni.
|
|
|
|
# Baba yetu
|
|
|
|
Hiki ni cheo cha muhimu cha Mungu.
|
|
|