sw_tn_fork/job/41/04.md

25 lines
628 B
Markdown

# Je atafanya agano na wewe, ili kwamba umchukue kwa ajili ya mtumishi milele?
"Hatafanya agano na wewe, kwamba hautamfanya kuwa mtumishi milele"
# Je utacheza pamoja naye kama ambavyo ungecheza na ndege?
"Hautacheza naye kama ambavyo ungecheza na ndege"
# Je utamfunga kwa ajili ya mtumishi wako wa kike?
"Hautamfunga kwa ajili wa watumishi wako wa kike"
# Je makundi ya wavuvi waweza kumfanyia biashara?
"Makundi ya wavuvi hawataweza kufanya biashara naye"
# Je watamgawanya ili kufanya biashara miongoni mwa wafanya biashara?
"Hawatamgawanya kwa wafanya biashara"
# watamgawanya
"maundi ya wavuvi watamgawanya"