forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
681 B
Markdown
17 lines
681 B
Markdown
# Dunia imebadilishwa katika mwonekano kama udongo unavyobadilika chini ya muhuri;
|
|
|
|
Watu hawawezi kuona vizuri kwa wakati wa usiku, lakini asubuhi hufunua wazi muundo wa kila kitu, kama vile muhuri unavyoumba mwonekano katika udongo.
|
|
|
|
# Mwanga' wao umeondolewa kutoka kwa watu waovu
|
|
|
|
"Asubuhi huondolea mbali mwanga wa watu waovu"
|
|
|
|
# mwanga wao
|
|
|
|
Watu waovu hudhani giza kuwa ndio mwanga wao, kwa kuwa wanafanya matendo yao maovu katika giza na wameizoelea giza.
|
|
|
|
# mkono wao ulioinuliwa umevunjwa
|
|
|
|
Mkono ulioinuliwa wa watu waovu unaonesha kwamba wana nguvu na nia ya kufanya mambo maovu, lakini mwanga wa asubuhi huvunja mkono wa ili kwamba wasiwe na uwezo wa kufanya maovu.
|
|
|