forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
998 B
Markdown
33 lines
998 B
Markdown
# Habari za Jumla:
|
|
|
|
Mwandishi anaendelea kutumia ulinganishaji katika mstari wa 18 na 19, kuwasilisha wazo moja akitumia maelezo mawili tofauti kusisitiza matendo ya Mungu ya kuongoza na kuponya.
|
|
|
|
# kutiwa adabu na Mungu ... uongozi wa Mwenyezi
|
|
|
|
Mungu ni mfano wa mzazi atiavyo adabu au aelekezavyo mtoto.
|
|
|
|
# amebarikiwa
|
|
|
|
"umependelewa"
|
|
|
|
# usidharau
|
|
|
|
"usikatae au " au "usiwangalie wasio na thamani"
|
|
|
|
# uongozi
|
|
|
|
"mafunzo" au "ukusanyaji" au "adilisha"
|
|
|
|
# Kwa kuwa yeye hujeruhi na kisha huuguza; yeye hutia jeraha na kisha mikono yake huponya
|
|
|
|
"kwa kuwa yeye hujeruhi lakini hufunga zaidi; yeye huangamiza lakini mikono yake huponya"
|
|
|
|
# mikono yake huponya
|
|
|
|
Hapa "mikono yake" ni mfano wa Mungu.
|
|
|
|
# Yeye atakuokoa na mateso sita; kweli, katika mateso saba, hakuna uovu utakao kugusa
|
|
|
|
matumizi ya ongezeko la hesabu kama vile "sita" na "saba" ni mfano wa wazo la wengi, mara nyingi. "Yeye atakuokoa kutoka katika taabu zaidi na zaidi; kwa kweli, muda baada ya muda, hakuna uovu utakao kugusa wewe"
|
|
|