forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
1008 B
Markdown
33 lines
1008 B
Markdown
# Ikawa kwamba
|
|
|
|
Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi.
|
|
|
|
# katika mwaka wa mia sita na mwaka wa kwanza
|
|
|
|
"Nuhu alipokuwa na umri wa miaka 601"
|
|
|
|
# mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi
|
|
|
|
Kwa sababu Musa aliandika kitabu hiki, inawezekana ana maana ya mwezi wa saba na mwezi wa kumu kwa kalenda ya Kiebrania, lakini hii haipo wazi.
|
|
|
|
# maji yalikuwa yamekauka katika nchi
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "maji yaliyofunika nchi yalikauka" au "upepo ulikausha maji yaliyofunika nchi"
|
|
|
|
# kifuniko cha safina
|
|
|
|
Hii ina maana ya kifuniko kilichozuia maji ya mvua kuingia ndani ya safina.
|
|
|
|
# tazama
|
|
|
|
Neno "tazama" linatuambia kuwa makini kwa ajili ya taarifa muhimu inayafuatia.
|
|
|
|
# Katika mwezi wa pili, siku ya ishirini na saba ya mwezi
|
|
|
|
siku ya saba ya mwezi ** - "Katika siku ya ishirini na saba ya mwezi wa pili." Hii inaweza kuwa na maana ya mwezi wa pili katika kalenda ya Kihebrania, lakini haipo wazi.
|
|
|
|
# nchi ilikuwa imekauka
|
|
|
|
"ardhi ilikuwa imekauka kabisa"
|
|
|