# kukufunga, ili aweze kukudhibiti
"kukufunga ili kukudhibiti"
# kamba safi
Kamba hutengenezwa kwa kutumia wanyama. kamba safi ni zile ambazo zimetoka kwa mnyama ambaye amechinjwa na hajakauka bado.
# ambazo hazijakauka
"ambazo hazijawa kavu"