1.1 KiB
Maelezo ya Jumla:
Neno "wao" linamaanisha kwa kutotii kwa Waisraeli, na "sisi" inamaanisha mwandishi na wasomaji.
Ni wakina nani walio msikia Mungu na kuasi? Si wale waliokuja kutoka Misri kupitia Musa?
Mwandishi anatumia maswali kudundisha wasomaji wake. Maswali haya mawili yanaweza kuunganishwa kama sentensi moja, kama itahitajika. AT: "wale wote waliokuja na Musa kutoka Misri walimsikia Mungu, lakini bado waliasi."
Ni akina nani ambao Mungu aliawakasirikia kwa miaka arobaini? Sio wale waliotenda dhambi, ni miili ya kina nani iliyanguka jangwani/ nyikani?
Mwandishi anatumia maswali kuwafundisha wasomaji wake. Maswali haya mawli yanaweza kuunganishwa na kuwa swali moja, kama litahitajika. AT: "Mungu alikuwa na hasira kwa miaka 40 na wale waliotenda dhambi na kuwaacha wafe nyikani."
hawakuweza kuingia katika raha yake
Amani na ulinzi ambao Mungu vinaomgelewa kana kwamba ni pumziko alilowapa, na kama kwama vilikuwa ni sehemu za kwenda. AT: "hawataingia sehemu ya pumziko" au "hawatapata baraka zake za pumziko"
kwa sababu ya kutokuamini kwao
"kutokuamini" inaweza kusemwa kama kitenzi "tumaini." AT: "kwa sababu hawakuweza kumtumaini"