sw_tn_fork/rom/11/09.md

17 lines
421 B
Markdown

# Acha meza zao ziwe na wavu
"Meza" inawakilisha sherehe, na "neti" au "mtego" inawakilisha adhabu. Nakusihi Mungu wakamate na uwatege katika sherehe zao"
# Makwazo
"kitu kinachowafanya watende dhambi"
# na kulipiza kisasi dhidi yao
"kitu kinachokuruhusu kulipa kisasi kwao"
# Ukawainamishe migongo yao daima
Daudi alimuomba Mungu awafanye adui zake kuwa watumwa wanaobeba mizigo mizito kwenye migongo yao daima.