forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
449 B
Markdown
13 lines
449 B
Markdown
# alisamehe udhalimu wao
|
|
|
|
"aliwasamehe ingawa walifanya matendo maovu"
|
|
|
|
# alizuia hasira yake
|
|
|
|
Asafu anazungumzia hasira ya Mungu kana kwamba ni mtu mwenye hasira ambaye Mungu alimzuia kushambulia yule aliyemkasirisha. "hakuwaadhibu ingawa alikuwa amekasirishwa nao"
|
|
|
|
# hakutikisa gadhabu yake yote
|
|
|
|
Asafu anazungumzia gadhabu ya Mungu kana kwamba ni mtu aliyelala ambaye Mungu alimruhusu kulala na hakumwamsha. "hakujiruhusu kuwakasirikia kabisa"
|
|
|