forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
385 B
Markdown
13 lines
385 B
Markdown
# Alipo kuwa amemaliza kuzungumza naye
|
|
|
|
"Mungu alipomaliza kuzungumza na Abrahamu"
|
|
|
|
# Mungu akaondoka kwa Abraham
|
|
|
|
"Mungu akamuacha Abrahamu"
|
|
|
|
# kila mwanaume miongoni mwa watu wa nyumba ya Abraham
|
|
|
|
"kila binadamu wa kiume katika nyumba ya Abrahamu" au "kila mtu wa kiume katika nyumba ya Abrahamu". Ina maana ya wanadamu wa kiume wa umri wote: watoto wachanga, wavulana na wanamume.
|
|
|