Add 'heb/12/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-03 18:22:26 +00:00
parent 540f0c2c5a
commit fb98b9058a
1 changed files with 19 additions and 0 deletions

19
heb/12/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,19 @@
# Waebrania 12 Maelezo kwa jumla
### Muundo na mpangilio
Baada ya kuwafundisha watu umuhimu wa adhabu, mwandishi anaanza mfuatano ya mahubiri. (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/exhort).
Watafsiri wengine wameweka kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 12:5-6, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Nidhamu
Mungu anataka watu wake kutenda yaliyo mema.Wakifanya kile hakipendi, anatakikana kuwarekebisha ama kuwadhibu. Yeye hufanya hivi jinsi baba wa duniani huwarekebisha na kuwadhibu watoto wao wanaowapenda. (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/discipline)
## Links:
* __[Hebrews 12:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../11/intro.md) | [>>](../13/intro.md)__