Add 'luk/17/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-05 18:57:39 +00:00
parent 40c7ddda63
commit f4ac1315b6
1 changed files with 39 additions and 0 deletions

39
luk/17/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,39 @@
# Luka 17 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Katika utakaso wa watu 10 (Luka 17:11-17), lazima kuwe na ufahamu kamili wa muundo wa hadithi hii. Ni hadithi moja iliyounganishwa. Itikio la Msamaria asiyetakasika ni sahihi, lakini itikio la wale wengine haikuwa sahihi na inadhaniwa kuwa walikuwa Wayahudi. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/ungodly)
### Dhana maalum katika sura hii
#### Mifano ya Agano la Kale
Sura hii inatumia mfululizo wa mifano kutoka Agano la Kale. Mifano zote hizi ni wakati ambapo watu hawakujihusisha na Mungu. Kuelewa vizuri maana ya kila mfano itakuwa vigumu bila kuanza kusoma na kuelewa kitabo cha Mwanzo.
Those who read your translation may need help so they can understand what Jesus was teaching here.
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
#### Ingekua afadhali
Hii ni aina maalum ya hali ya fikira. Katika hali hii, badala ya kuzungumza juu ya hali au vitu vingetokea, inatoa ufafanuzi juu ya hali ya baadaye ikiwa hali ya sasa haibadiliki. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-hypo)
#### Hali ya Kufikiri na Hali ya Uhuishaji
Yesu anatumia takwimu mbili za misemo kwa wakati mmoja katika sura hii. Anashirikisha hali ya kufikiri pamoja na maswali ya uhuishaji kwa sababu jibu sahihi kwa hali ya kufikiri lazima iwe wazi. (See: Luke 17:5-9 and rc://en/ta/man/translate/figs-rquestion)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### "Mwana wa Binadamu"
Yesu anajiita mwenyewe kama "Mwana wa Binadamu." Lugha zingine haziwezi kuruhusu mtu kujitaja mwenyewe kama 'mtu wa tatu.'
#### Matumizi ya kitendawili
Kitendawili ni taarifa inayoonekana kuwa ya ajabu, ambayo ni kana kwamba inajikana yenyewe, lakini kwa hakika sio ya ajabu. Mfano wa kitendawili katika sura hii: "Yeyote anayetaka kupata uhai wake ataupoteza, lakini yeyote anayepoteza uhai wake atauokoa" (Luka 17:33).
## Links:
* __[Luke 17:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../16/intro.md) | [>>](../18/intro.md)__