Add 'luk/16/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-05 18:48:39 +00:00
parent 512557364a
commit 40c7ddda63
1 changed files with 21 additions and 0 deletions

21
luk/16/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,21 @@
# Luka 16 Maelezo ya Jumla
### Dhana maalum katika sura hii
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
#### Kusema
Imeandikwa kama Abrahimu alisema "hawatajali hata kama mtu atafufuka kutoka wafu." Hii ni mwelekeo wa ukweli kwamba Yesu atafufuka kutoka kwa wafu na hawatajali ukweli huu.
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### "Sheria na manabii walikuwa wa kutegemewa hadi Yohana alipokuja"
Maneno haya hayamaanishi kanuni za sheria ya Musa zilimalizika wakati wa Yohana Mbatizaji. Ni wazi kutoka kwenye Injili kuwa Yesu aliishi na kuhudumia kulingana na sheria. Kilichobadilika ni ujumbe uliotangazwa. Ndio maana UDB inasema, "Sheria ambazo Mungu alimpa Musa na kile ambacho manabii waliandika zilihuburiwa mpaka Yohana Mbatizaji alifika." (See: Luke 16:16 and rc://en/tw/dict/bible/kt/lawofmoses)
## Links:
* __[Luke 16:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../15/intro.md) | [>>](../17/intro.md)__