Add 'luk/15/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-05 18:44:40 +00:00
parent 12556990c0
commit 512557364a
1 changed files with 19 additions and 0 deletions

19
luk/15/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,19 @@
# Luka 15 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
#### Mfano wa mwana mpotevu
Luka 15:13-32 ni mfano mmoja, unaojulikana kama mfano wa mwana mpotevu. Kuna takwimu tatu katika hadithi. Kwa ujumla inakubaliwa kuwa baba anaonyesha mfano wa Mungu (Baba), mwana mdogo mwenye dhambi anaonyesha mfano ya wale wanaotubu na kuja kwa imani katika Yesu, na mwana yule mkubwa anayejigamba kuwa mwenye haki anaonyesha mfano ya Wafarisayo. Msamaha unaoonyeshwa kwa mwana aliyepotea na mwenye dhambi unakuwa kizuizi kwa mwana mkubwa, na kumfanya kukataa baba. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/forgive)
### Dhana maalum katika sura hii
#### "Wenye dhambi"
Mafarisayo hutaja kundi la watu kuwa "wenye dhambi." Viongozi wa Kiyahudi walidhani watu hawa walikuwa wenye dhambi, lakini kwa kweli viongozi wenyewe walikuwa pia wenye dhambi. Hali hii inaweza kuchukuliwa kama kinaya. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-irony)
## Links:
* __[Luke 15:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../14/intro.md) | [>>](../16/intro.md)__