Add 'luk/14/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-05 18:40:46 +00:00
parent 6c1ada1dc1
commit 12556990c0
1 changed files with 27 additions and 0 deletions

27
luk/14/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,27 @@
# Luka 14 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Mstari wa 3 unasema, "Yesu aliwauliza wataalam wa sheria ya Kiyahudi na Mafarisayo, 'Je, ni halali kuponya siku ya Sabato, au la?'" Mara nyingi, Mafarisayo walimkasirikia Yesu kwa kuponya siku ya Sabato. Katika kifungu hiki, Yesu awashangaza Mafarisayo. Ilikuwa kawaida Mafarisayo ambao walijaribu kumtega Yesu.
#### Mabadiliko ya ghafla
Sura hii inabadilika kwa kasi kutoka kwenye mada moja hadi nyingine. Kuna sehemu kadhaa kubwa zilizo na mistari nyingi na mafundisho mengine mafupi yaliyomo katika mstari mmoja.
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
#### Mfano
Luka 14:15-24 ni kama mfano uliopanuliwa. Ufalme wa Mungu unaweza kuwasilishwa kama sikukuu ya harusi au chakula cha jioni. Mfano huu ungeweza kuonyesha kuwa watu wanamkataa Yesu kwa sababu mbalimbali zisizo muhimu na kwa sababu ya hii kukosa kupokea baraka kubwa za Yesu. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/kingdomofgod)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### Matumizi ya kitendawili
Kitendawili ni taarifa inayoonekana kuwa ya ajabu, ambayo ni kana kwamba inajikana yenyewe, lakini kwa hakika sio ya ajabu. Mfano wa kitendawili katika sura hii: "kwa maana kila mtu atakayejikuza atanyenyekezwa, na yeye atakayejinyenyekeza atainuliwa" (Luka 14:11).
## Links:
* __[Luke 14:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../13/intro.md) | [>>](../15/intro.md)__