Add 'luk/13/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-05 18:37:01 +00:00
parent 4979714c73
commit 6c1ada1dc1
1 changed files with 19 additions and 0 deletions

19
luk/13/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,19 @@
# Luka 13 Maelezo ya Jumla
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
#### Maarifa ya Kudhaniwa
Sura hii inaanza na kurejelea ya matukio mawili, ambayo maelezo yake hayajahifadhiwa (Luka 13:1-5). Ingawa hatujui habari yote ya matukio haya, wasomaji wa siku hizi wanafahamu vizuri mafundisho haya. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit) (Luka 13:1-5).
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### Matumizi ya kitendawili
Kitendawili ni taarifa inayoonekana kuwa ya ajabu, ambayo ni kana kwamba inajikana yenyewe, lakini kwa hakika sio ya ajabu. Mfano wa kitendawili katika sura hii: "wale ambao hawana muhimu zaidi watakuwa wa kwanza, na wale ambao ni muhimu zaidi watakuwa wa mwisho" (Luka 13:30).
## Links:
* __[Luke 13:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../12/intro.md) | [>>](../14/intro.md)__