Add 'eph/06/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-26 17:51:26 +00:00
parent 3bb1ec762f
commit f0e3beacc1
1 changed files with 19 additions and 0 deletions

19
eph/06/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,19 @@
# Waefeso 06 Maelezo ya Jumla
### Dhana maalum katika sura hii
#### Utumwa
Paulo hajaandika katika sura hii ikiwa utumwa ni nzuri au mbaya. Paulo anafundisha kuhusu kufanya kazi ili kumpendeza Mungu ukiwa mtumwa au bwana. Anachofundisha Paulo hapa juu ya utumwa kingekuwa cha kushangaza. Katika wakati wake, mabwana hawakutarajiwa kuwaheshimu watumwa wao na kutowatisha.
### Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii
#### Silaha za Mungu
Mfano hii inaelezea jinsi Wakristo wanaweza kujikinga wakati wanavamiwa kiroho. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit and rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
## Links:
* __[Ephesians 06:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../05/intro.md) | __