From f0e3beacc1ce4b66e25028cfeea46903cdec7bcd Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: Rick Date: Wed, 26 May 2021 17:51:26 +0000 Subject: [PATCH] Add 'eph/06/Intro.md' --- eph/06/Intro.md | 19 +++++++++++++++++++ 1 file changed, 19 insertions(+) create mode 100644 eph/06/Intro.md diff --git a/eph/06/Intro.md b/eph/06/Intro.md new file mode 100644 index 0000000..d1a7a94 --- /dev/null +++ b/eph/06/Intro.md @@ -0,0 +1,19 @@ +# Waefeso 06 Maelezo ya Jumla + +### Dhana maalum katika sura hii + +#### Utumwa + +Paulo hajaandika katika sura hii ikiwa utumwa ni nzuri au mbaya. Paulo anafundisha kuhusu kufanya kazi ili kumpendeza Mungu ukiwa mtumwa au bwana. Anachofundisha Paulo hapa juu ya utumwa kingekuwa cha kushangaza. Katika wakati wake, mabwana hawakutarajiwa kuwaheshimu watumwa wao na kutowatisha. + +### Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii + +#### Silaha za Mungu + +Mfano hii inaelezea jinsi Wakristo wanaweza kujikinga wakati wanavamiwa kiroho. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit and rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor) + +## Links: + +* __[Ephesians 06:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../05/intro.md) | __ \ No newline at end of file