Add 'col/04/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-27 16:23:59 +00:00
parent 3118117d17
commit d4741a8e64
1 changed files with 23 additions and 0 deletions

23
col/04/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,23 @@
# Wakolosai 04 Maelezo kwa ujumla
### Muundo na Mpangilio
Wakolosai 4:1 inaonekana kuambatana na sura ya 3 badala ya 4
### Maswala Muhimu kwa sura hii
#### "Kwa mkono wangu mwenyewe"
Ilikuwa kawaida kwa mwandishi wa kale katika inchi za Mashariki ya Karibu kuzungumza na mtu mwingine anaandika chini yanayozungumzwa. Barua nyingi za Agano jipya ziliandikwa namna hivi.Paulo aliandika mwenyewe salamu za mwisho.
### Sehemu zingine zenye utata katika tafsiri ya sura hii
#### Ukweli wa siri
Paulo anaashiria ukweli wa siri katika sura hii. Jukumu la kanisa katika mipango ya Mungu halikujulikana hapo mwanzo. Lakini sasa Mungu amelitambulisha. Moja ya hii siri inahusisha watu wa Mataifa kuwa na nafasi sawa na Wayahudi katika mipango ya Mungu. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/reveal).
## Links:
* __[Colossians 04:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../03/intro.md) | __