From d4741a8e64cf182c8fa02a76e0a8a81d889e3e29 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: Rick Date: Thu, 27 May 2021 16:23:59 +0000 Subject: [PATCH] Add 'col/04/Intro.md' --- col/04/Intro.md | 23 +++++++++++++++++++++++ 1 file changed, 23 insertions(+) create mode 100644 col/04/Intro.md diff --git a/col/04/Intro.md b/col/04/Intro.md new file mode 100644 index 00000000..c5b4b81e --- /dev/null +++ b/col/04/Intro.md @@ -0,0 +1,23 @@ +# Wakolosai 04 Maelezo kwa ujumla + +### Muundo na Mpangilio + +Wakolosai 4:1 inaonekana kuambatana na sura ya 3 badala ya 4 + +### Maswala Muhimu kwa sura hii + +#### "Kwa mkono wangu mwenyewe" + +Ilikuwa kawaida kwa mwandishi wa kale katika inchi za Mashariki ya Karibu kuzungumza na mtu mwingine anaandika chini yanayozungumzwa. Barua nyingi za Agano jipya ziliandikwa namna hivi.Paulo aliandika mwenyewe salamu za mwisho. + +### Sehemu zingine zenye utata katika tafsiri ya sura hii + +#### Ukweli wa siri + +Paulo anaashiria ukweli wa siri katika sura hii. Jukumu la kanisa katika mipango ya Mungu halikujulikana hapo mwanzo. Lakini sasa Mungu amelitambulisha. Moja ya hii siri inahusisha watu wa Mataifa kuwa na nafasi sawa na Wayahudi katika mipango ya Mungu. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/reveal). + +## Links: + +* __[Colossians 04:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../03/intro.md) | __