Add 'jas/02/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-04 17:49:15 +00:00
parent 8dc217c2a4
commit cb8e036131
1 changed files with 27 additions and 0 deletions

27
jas/02/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,27 @@
# Yakobo 02 Maelezo ya Jumla
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Mapendeleo
Wasomaji wengine wa Yakobo waliwatendea matajiri na wenye uwezo mazuri na kuwatendea maskini vibaya. Haya ndiyo mapendeleo na Yakobo anawaambia kwamba hii ni mbaya. Mungu anataka maskini kwa matajiri watendewe wema.
#### Kuhesabiwa haki
Kuhesabiwa haki ni kile hufanyika wakati Mungu anamfanya mtu kuwa mwenye haki.Yakobo anasema Mungu huwafanya wenye haki ama huwahesabu wenye haki watu ambao imani yao huendana na matendo mazuri. (tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/justice na rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous and rc://en/tw/dict/bible/kt/faith)
### Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii
#### Alama za nukuu
Maneno "Nionyeshe imani yako bila matendo na nitakuonyesha imani yangu kwa matendo" ni magumu kuelewa. Watu wengine hufikiri ni yale "wengine wagesema" kama maneno yaliyo na alama za nukuu. Matoleo mengi huyatafsiri kama maneno Yakobo anamwelezea "mtu huyo".
#### "Wewe una..." "Mimi nina..."
Watu wengine hufikiria kwamba maneno "wewe" na "mimi" yametumiwa kumaanisha "baathi ya watu" na "waatu wengine". Iwapo ni sahihi mstari wa 18 unaweza tafsiriwa , "Watu wengine wanaweza sema, "Watu wengine wana imani na baadhi ya watu wana matendo, siyo watu wote wana zote."Iwapo sentensi ifuatayo pia ni yenye watu wangesema," inaweza tafsiriwa "Baadhi ya Watu wanaonyesha imani yao bila matendo na watu wengine wanaonyesha imani yao kwa matendo. Wote wana imani." Katika hali zote mbili, msomaji ataelewa tu ukiongezea sentensi ya ziada. Ni vyema kutafsiri jinsi ULB hufanya. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-metonymy and rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)
## Links:
* __[James 02:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../01/intro.md) | [>>](../03/intro.md)__