Update 'jas/01/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-04 17:42:28 +00:00
parent 3270650135
commit 8dc217c2a4
1 changed files with 12 additions and 16 deletions

View File

@ -1,30 +1,26 @@
# James 01 General Notes
# Yakobo 01 Maelezo kwa jumla
### Structure and formatting
### Dhana muhimu katika sura hii
James formally introduces this letter in verse 1. Writers often began letters in this way in the ancient Near East.
#### Majaribio na vishawishi
### Special concepts in this chapter
Maneno haya mawili yanatokea pamoja katika (Yakobo: 1:12-13) Maneno yote "yanasema juu ya mtu anayeweza kuchagua kutenda mazuri na kutenda mabaya. Tofauti yao ni muhimu. Mungu anamjaribu mtu na anahitaji atende mema. Shetani anamshawishi mtu huyo na anataka atende maovu.
#### Testing and temptation
#### Mataji
These two words occur together in ([James 1:12-13](./12.md)). Both words speak of a person who is able to choose between doing something good and doing something evil. The difference between them is important. God is testing the person and wants him to do what is good. Satan is tempting the person and wants him to do what is evil.
Taji ambalo mtu hupewa baada ya kuyashinda majaribio ni tuzo. Hiki ni kitu amabaco watu wafanyacho kitu kizuri hupokea. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/other/reward)
#### Crowns
###Mifano muhimu za usemi katika sura hii
The crown that a man who passes the test receives is a reward, something that people who do something especially good receive. (See: [[rc://en/tw/dict/bible/other/reward]])
#### MIfano
### Important figures of speech in this chapter
Yakobo anatumia mifano nyingi na "unastahili kuelewa maswala yaliyo kwenye rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor kabla ya kuzitafsiri vizuri.
#### Metaphors
### Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii
James uses many metaphors in this chapter, and you will need to understand the material on the metaphor page before you can translate them well. (See: [[rc://en/ta/man/jit/figs-metaphor]])
#### "Kwa Makabila kumi na mbili yaliyotawanyika"
### Other possible translation difficulties in this chapter
#### "To the twelve tribes in the dispersion"
It is not clear to whom James wrote this letter. He calls himself a servant of the Lord Jesus Christ, so he was probably writing to Christians. But he calls his readers "the twelve tribes in the dispersion," words which usually refer to Jews. It is possible that he is using the words as a metaphor for "all people whom God has chosen" or that he wrote the letter at a time when most Christians had grown up as Jews.
Haikuwa wazi kama Yakobo aliwaandikia wa nani katika barua hii.Anajiita mwenyewe kama mtumishi wa Bwana Yesu Kristo, na kwa hivyo kuna uwezekano alikuwa akiwaandikia Wakristo. Lakini anawaita wasomaji wake "Makabila kumi na mbili yaliyotawanyika", maneno yatumikayo kuashiria Wayahudi. Kuna uwezekano ametumia maneno hayo kama mfano ya "wengi ambao Mungu amewachagua" ama aliandika barua hii wakati Wakristo wote walikuwa wamekomaa kama Wayahudi.
## Links: