Add 'rev/06/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-09 17:52:53 +00:00
parent 884608196f
commit c8f5fbf99e
1 changed files with 31 additions and 0 deletions

31
rev/06/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,31 @@
# Ufunuo 06 Maelezo ya jumla
### Muundo na mpangilio
Mfano wa hasira ya Mungu katika sura hii imewekwa kutia uoga kwa wale watakayosikia maneno haya. (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/fear)
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Mihuri saba
Kuna kutoelewana kuhusu jinsi mihuri hii imeambatanishwa kwenye kitabu.Ingekuwa ya kueleweka iwapo iliwekwa upande upande lakini kitabu kingeonyesha kilichomo baada ya muhuri wa mwisho kuvunjwa. Si hivyo sura hii inafafanua kitabu kwa sababu kila muhuri unafunua hukumu fulani. Inaaminika pia kwamba kutokuwepo kwa muhuri wa saba kunafunua baragumu saba za hukumu.(Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/judge]] na [[rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
#### Bei Inaongezeka
Bei ya vitu fulani vitaongezeka kwa gahfla. Watu hawataweza kununua vitu wanavyohitaji kwa kuishi. Hii ndio inaitwa "mfumuko."
### Mifano muhimu ya usemi katika sura hii
#### Yule Mwana-Kondoo
Hii inaashiria Yesu. Katika sura hii, inatumika pia kama cheo cha Yesu. (Tazama:rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)
#### Mifano
Mwandishi anatumia aina nyingi za mifano. Hii ni kwa sababu anajaribu kufafanua picha ya vitu anavyoona katika maono. Kwa hivyo, analinganisha picha hizi kwenye maono na mambo ya kawaida. (Tazama:rc://en/ta/man/translate/figs-simile)
## Links:
* __[Revelation 06:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../05/intro.md) | [>>](../07/intro.md)__