Add 'rev/05/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-09 17:30:54 +00:00
parent 149e78f542
commit 884608196f
1 changed files with 35 additions and 0 deletions

35
rev/05/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,35 @@
# Ufunuo 05 maelezo kwa jumla
### Muundo na mpangilio
Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 4:8, 11
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Kitabo kilichofungwa na mihuri
Katika kitabu kilichofungwa na mihuri kimeandikwa ujumbe uliofichwa ambao unangojelewa kusomwa. Kitabu hiki kinaweza kusomwa tu na mtu aliye na mamlaka ya kukifungua.
#### Wazee ishirini na wanne
Labda maneno haya yanaashiria viongozi wa kanisa lakini utambulisho ya wazee ishirini na wanne sio na hakika. (Tazama:rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
#### Sala za Kikristo
Sala za Wakristo zimeunganishwa na ubani. Sala za Wakristo zina harufu nzuri kwa Mungu. Mungu anafurahi wakati Wakristo wanapoomba.
#### Roho saba za Mungu
Maana halisi ya maneno haya haiko wazi. Kuna uwezekano kama ni mfano inayoashiria Roho Mtakatifu na nambari saba ikiashiria "ukamilifu." Kuna uwezekano kwamba pia si mfano, lakini inaashiria roho saba zinazozunguka kiti cha enzi cha Mungu.
### Mifano muhimu ya usemi katika sura hii
#### Mfano
"Simba wa kabila la Yuda" na "mzizi wa Daudi" inaashiria Yesu. Hizi ni mifano inayotumika kama vyeo vya Yesu. (Tazama:rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor]] na[[rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)
## Links:
* __[Revelation 05:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../04/intro.md) | [>>](../06/intro.md)__