Add 'gal/06/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-21 16:31:53 +00:00
parent 9712c37838
commit c821ee9b40
1 changed files with 27 additions and 0 deletions

27
gal/06/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,27 @@
# Wagalatia 06 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Sura hii inahitimisha barua ya Paulo. Maneno yake ya mwisho yanashughulikia masuala ambayo hayaonekani kuwa yameunganishwa na barua yake yote.
#### Ndugu
Paulo anaandika maneno katika sura hii kwa Wakristo. Anawaita "ndugu." Hii inahusu ndugu za Paulo wa Kikristo na sio ndugu zake wa Kiyahudi.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Uumbaji Mpya
Watu ambao wamezaliwa tena ni uumbaji mpya katika Kristo. Wakristo wamepewa uzima mpya katika Kristo. Wana asili mpya ndani yao baada ya kuwa na imani katika Kristo. Kwa Paulo, hii ni muhimu zaidi kuliko ukoo cha mtu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/bornagain]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/faith)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### Mwili
Hili ni suala ngumu. "Mwili" inatofautishwa na "roho." Katika sura hii, mwili pia hutumiwa kutaja mwili halisi. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/flesh]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit)
## Links:
* __[Galatians 06:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../05/intro.md) | __