From c821ee9b40a26a57d18c3ab5166bfdcaaa20cbed Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: Rick Date: Fri, 21 May 2021 16:31:53 +0000 Subject: [PATCH] Add 'gal/06/Intro.md' --- gal/06/Intro.md | 27 +++++++++++++++++++++++++++ 1 file changed, 27 insertions(+) create mode 100644 gal/06/Intro.md diff --git a/gal/06/Intro.md b/gal/06/Intro.md new file mode 100644 index 0000000..e845cf7 --- /dev/null +++ b/gal/06/Intro.md @@ -0,0 +1,27 @@ +# Wagalatia 06 Maelezo ya Jumla + +### Muundo na upangiliaji + +Sura hii inahitimisha barua ya Paulo. Maneno yake ya mwisho yanashughulikia masuala ambayo hayaonekani kuwa yameunganishwa na barua yake yote. + +#### Ndugu + +Paulo anaandika maneno katika sura hii kwa Wakristo. Anawaita "ndugu." Hii inahusu ndugu za Paulo wa Kikristo na sio ndugu zake wa Kiyahudi. + +### Dhana maalum katika sura hii + +#### Uumbaji Mpya + +Watu ambao wamezaliwa tena ni uumbaji mpya katika Kristo. Wakristo wamepewa uzima mpya katika Kristo. Wana asili mpya ndani yao baada ya kuwa na imani katika Kristo. Kwa Paulo, hii ni muhimu zaidi kuliko ukoo cha mtu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/bornagain]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/faith) + +### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii + +#### Mwili + +Hili ni suala ngumu. "Mwili" inatofautishwa na "roho." Katika sura hii, mwili pia hutumiwa kutaja mwili halisi. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/flesh]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit) + +## Links: + +* __[Galatians 06:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../05/intro.md) | __ \ No newline at end of file