Add 'rom/16/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-17 18:46:10 +00:00
parent 780f8578ea
commit c64d728fcf
1 changed files with 15 additions and 0 deletions

15
rom/16/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,15 @@
# Warumi 16 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Katika sura hii, Paulo anatoa salamu za kibinafsi kwa Wakristo wengine huko Roma. Ilikuwa kawaida kumaliza barua na aina hii ya salamu ya kibinafsi katika inchi za kale ya Mashariki ya Karibu.
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
Kwa sababu ya hali ya kibinafsi ya sura hii, mengi juu ya mazingira hayajulikani. Hii itafanya tafsiri iwe ngumu zaidi. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)
## Links:
* __[Romans 16:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../15/intro.md) | __