diff --git a/rom/16/Intro.md b/rom/16/Intro.md new file mode 100644 index 0000000..61a4185 --- /dev/null +++ b/rom/16/Intro.md @@ -0,0 +1,15 @@ +# Warumi 16 Maelezo ya Jumla + +### Muundo na upangiliaji + +Katika sura hii, Paulo anatoa salamu za kibinafsi kwa Wakristo wengine huko Roma. Ilikuwa kawaida kumaliza barua na aina hii ya salamu ya kibinafsi katika inchi za kale ya Mashariki ya Karibu. + +### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii + +Kwa sababu ya hali ya kibinafsi ya sura hii, mengi juu ya mazingira hayajulikani. Hii itafanya tafsiri iwe ngumu zaidi. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit) + +## Links: + +* __[Romans 16:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../15/intro.md) | __