Add 'rev/21/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-10 21:51:34 +00:00
parent 38efbfc77a
commit c631a27ff6
1 changed files with 29 additions and 0 deletions

29
rev/21/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,29 @@
# Ufunuo 21 Maelezo ya jumla
### Muundo na mpangilio
Sura hii inatoa maelezo ya kina kuhusu Yerusalemu mpya.
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Kifo cha pili
Kifo ni aina ya muachano. Kifo cha kwanza ni kifo cha mwili, kuachana kwa roho kutoka kwa mwili. Kifo cha pili ni utengano wa milele kutoka kwa Mungu. (Tazama: (See: rc://en/tw/dict/bible/other/death]], [[rc://en/tw/dict/bible/kt/soul]] na [[rc://en/tw/dict/bible/kt/eternity)
### Tamathali muhimu za usemi katika sura hii
#### Kitabu cha uzima
Hii ni mfano wa maisha ya milele. Wale walio na uzima wa milele husemekana kuandikwa majina yao wkenye kitabo hiki cha uzima. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
### Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii
#### Mbingu mpaya na dunia mpya
Haieleweki iwapo hii ni dunia na mbingu tofauti kabisa ama kama zitatengenezwa kutoka kwa dunia na mbingu za kisasa. Hii ni hali sawa na Yerusalemu mpya. Kuna uwezekano kwamba hii itaathiri tafsiri katika lugha zingine.
## Links:
* __[Revelation 21:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../20/intro.md) | [>>](../22/intro.md)__