Add 'luk/02/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-04 18:54:53 +00:00
parent 281896013a
commit 9ec0d64abb
1 changed files with 17 additions and 0 deletions

17
luk/02/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,17 @@
# Luka 02 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka sala ndefu au unabii mbele kidogo ya maandiko nyingine. Kwa sababu hii, ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari ya 2:14, 29-32.
### "Dhana maalum katika sura hii"
#### Hakukuwa na nafasi kwao
Maelezo ya Luka kuhusu kuzaliwa kwa Kristo hauna maelezo mengi kama vile injili nyingine. Huenda Luka hakufikiri kama maelezo haya yalikuwa muhimu, labda kwa sababu ya habari za kuzaliwa katika injili nyingine.
## Links:
* __[Luke 02:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../01/intro.md) | [>>](../03/intro.md)__