Add 'luk/01/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-04 18:51:03 +00:00
parent deb188805c
commit 281896013a
1 changed files with 22 additions and 0 deletions

22
luk/01/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,22 @@
# Luka 01 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka sala ndefu au unabii mbele kidogo ya maandiko nyingine. Kwa sababu hii, ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari ya 1:46-55, 68-79.
### Dhana maalum katika sura hii
#### "Ataitwa Yohana"
Haikuwa jambo la kawaida katika ichi ya Mashariki ya Karibu kumwia mtoto jina ambalo sio jina la jamaa. Kwa kuwa Elizabeti na Zakaria hawakuwa na mtu aliyeitwa "Yohana" katika familia yao, jina hili liliwashangaza sana kwa watu wengine.
### Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
Luka hatumii maneno mengi magumu. Lugha yake ni rahisi na ya moja kwa moja.
## Links:
* __[Luke 01:01 Notes](./01.md)__
* __[Luke intro](../front/intro.md)__
__| [>>](../02/intro.md)__