Add 'jas/03/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-04 17:51:07 +00:00
parent cb8e036131
commit 885eb6ef22
1 changed files with 13 additions and 0 deletions

13
jas/03/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,13 @@
# Yakobo 03 Maelezo kwa jumla
### Mifano muhimu katika sura hii
#### Mifano
Yakobo anawafundisha wasomaji wake kwamba waishi kumpendeza Mungu kwa kuwakumbusha kuhusu mambo wanayofahamu ya kawaida katika maisha ya kila siku. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
## Links:
* __[James 03:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__