Add 'rev/14/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-10 17:56:55 +00:00
parent 6baed76bab
commit 77eb03dcab
1 changed files with 23 additions and 0 deletions

23
rev/14/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,23 @@
# Ufunuo 14 Maelezo ya jumla
### Dhana muhimu katika sura hii
#### "Ushindi dhidi ya yule mnyama"
Huu ni ushindi katika vita vya kiroho vinavyotokea wakati huu. Ingawa vita vingi vya kiroho haviezi kuonekana, kitabu cha Ufunuo kinatupa taswira ya wakati vita vya kiroho vitatokea hadharani. (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit]] and [[rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
#### Alama ya yule mnyama
Yohana amechukua muda mrefu kwa kuzungumzia ile alama inayopewa na yule mnyama. Wasomi wengi wanaamini kwamba sura hii inafundisha kwamba wale wanapokea alama hii watapata adhabu ya milele katika kuzimu. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/eternity]] na [[rc://en/tw/dict/bible/kt/hell)
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Mavuno
Mavuna ni mfano ya kawaida katika maandiko. Mavuno huashiria wakati vitu vizuri hutokea. Mara nyingi hutumiwa kuashiria watu kutokea kumwamini Yesu lakini Yohana hamaanishi hivi hapa. Hapa inatumika kufafanua kumalizika kwa mipango ya Mungu. (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/faith)
## Links:
* __[Revelation 14:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../13/intro.md) | [>>](../15/intro.md)__