Add 'rev/13/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-10 16:21:56 +00:00
parent 2b14186cb9
commit 6baed76bab
1 changed files with 33 additions and 0 deletions

33
rev/13/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,33 @@
# Ufunuo 13 Maelezo ya jumla
### Muundo na mpangilio
Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 13:10 ambayo imenukuliwa kutoka Agano la Kale.
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Jeraha ya mauti
Wasomi wengi wanaamini huu ni unabii wa kifo cha mpinga Kristo. Wanaamini mpinga Kristo ataigiza ufufuko wa Yesu ama kuugushi. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet]], [[rc://en/tw/dict/bible/kt/antichrist]] na [[rc://en/tw/dict/bible/kt/resurrection)
### Mifano muhimu ya usemi katika sura hii
#### Yule Mnyama
Wasomi wengi anaamini kwamba hii ni mfano kwa kuelezea mpinga Kristu.Hii ni muhimu kwa kuelewa kikamilifu aya hii.Hii ni kinyume na mwanakondoo ambaye anaashiria Yesu. (Tazama:rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor]], [[rc://en/ta/man/translate/figs-personification]] na [[rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
#### Mnyama mwingine
Wasomi wengi wanaamini kwamba huyu mnyama mwingine ni nabii ama kuhani wa mpinga Kristu. Ana uwezo wa kutenda miujiza mingi na kuwafanya watu wengi kumuabudu mpinga Kristu.
### Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii
#### Wanyama wasiojulikana
Sura hii inatumia idadi kubwa ya wanyama wasiojulikana.Wingi wa wanyama hawa wametumika kiishara ingawa maana yao haielezeki waziwazi. Hii itasababisha utata mkubwa kwa watafsiri. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/translate-unknown)
## Links:
* __[Revelation 13:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../12/intro.md) | [>>](../14/intro.md)__