Update 'eph/front/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-25 18:45:59 +00:00
parent 61a663f89f
commit 68ae167e4b
1 changed files with 40 additions and 27 deletions

View File

@ -1,20 +1,20 @@
# Utangulizi wa kitabo cha Waefeso
# Utangulizi wa Waefeso
## Sehemu 1: Utangulizi wa jumla
## Sehemu ya 1: Utangulizi wa Ujumla
### Muhtasari wa Waefeso
### Maelezo ya Kitabu cha Waefeso
1. Salamu na maombi kwa baraka za kiroho katika Kristo (1:1-23)
1. Salamu na sala kwa baraka za kiroho katika Kristo (1:1-23)
1. Dhambi na wokovu (2:1-10)
1. Umoja pamoja na amani (2:11-22)
1. Siri ya Ukristo ndani mwako umejulikana (3:1-13)
1. Sala ya kuomba utajiri wa utukufu wake iwafanye wenye nguvu (3:14-21)
1.Umoja kiutakatifu na kujenga mwili wa Kristo (4:1-16)
1. Siri ya Kristo ndani yenu, amejulishwa (3:1-13)
1. Maombi kwa ajili ya utajiri wa utukufu wake ili kuwafanya kuwa na nguvu (3:14-21)
1.Umoja wa Roho, kujenga Mwili wa Kristo (4: 1-16)
1. Maisha mapya (4:17-32)
1. Waigaji wa Mungu (5:1-21)
1. Wake kwa waume, watoto kwa wazee, watumwa kwa watuma (5:22-6:9)
1. Silaha zake Mungu (6:10-20)
1. Salamu za mwisho (6:21-24)
1. Wake na waume; watoto na wazazi; watumwa na mabwana (5:22-6:9)
1. Silaha za Mungu (6:10-20)
1. Salamu ya mwisho (6:21-24)
### Nani aliandika kitabu cha Waefeso?
@ -26,40 +26,53 @@ Mtume Paulo alisaidia kuanzisha kanisa la Efeso wakati moja wa safari zake. Pia
Paulo aliwaandikia barua hii Wakristo wa Waefeso kuwaeleza upendo wake Mungu kwao kupitia Yesu Kristo. Alieleza baraka Mungu alikuwa anawapa kwa sababu walikuwa wameunganishwa pamoja na Kristo. Aliwaeleza waumini wote kwamba walikuwa umoja na haikujari kama mtu ni Myahudi au Wayunani.
### Kichwa cha kitabo hiki kinastahili kutafsiriwa je?
### Je, kichwa cha kitabu hiki kinapaswa kutafsiriwaje?
Watafsiri wana chaguo la kukiita kitabu hiki kwa jina lake la kitambo, "Waefeso" au jina la wazi, "Barua ya Paulo kwa kanisa la Waefeso" au "Barua kwa Wakristo wa Waefeso." (See: rc://en/ta/man/translate/translate-names)
Watafsiri wanaweza kuchagua kuita kitabu hiki kwa kichwa chake cha asili, "Waefeso." Au wanaweza kuchagua kichwa wazi, kama "Barua ya Paulo kwa Kanisa la Efeso" au "Barua kwa Wakristo huko Efeso." (See: rc://en/ta/man/translate/translate-names)
## Sehemu ya 2: Umuhimu wa Dhana ya Dini na ya Utamaduni.
## Sehemu ya 2: Dhana muhimu za Kidini na za Kitamaduni
### Je, ni nini "Ukweli uliofichika" katika kitabu cha Waefeso?
### Je, ni nini "ukweli uliofichwa" katika Kitabu cha Waefeso?
Usemi uliotafsriwa katika ULB* kama "Ukweli uliofichika" hujitokeza mara sita. Kwa hiyo Paulo aliumanisha ujumbe Mungu aliwafunulia wazi binadamu kwa kuwa hawakuweza kuujua kivyao tu. Ilikuwa inajulikana kama siri yake Mungu kuhifadhi wanadamu. Pengine ilikuwa kuhusu mpango wake wa kuleta amani kati yake na wanadamu. Na hata pengine ilikuwwa kuhusu kuleta umoja kati ya Wayahudi na Wayunani.
Maneno yaliyotafsiriwa katika ULB kama "ukweli uliofichwa" au "uliofichwa" hutokea mara sita. Kwa hiyo Paulo alimaanisha kitu ambacho Mungu alipaswa kuwafunulia wanadamu kwa sababu hawakuweza kukijua wenyewe. Daima ilikuwa inahusu jinsi Mungu alivyopanga kuokoa wanadamu. Wakati mwingine ilikuwa juu ya mpango wake wa kufanya amani kati yake na wanadamu. Wakati mwingine ilikuwa juu ya mpango wake wa kuunganisha Wayahudi na Wayunani kupitia Kristo. Wayunani sasa wanaweza kufaidika na ahadi za Kristo wakiwa sawa na Wayahudi.
### Paulo alisema nini kuhusu wokovu na maisha ya haki?
### Je, Paulo alisema nini juu ya wokovu na kuishi kwa haki?
Paulo alinena mengi kuhusu wokovu na maisha ya haki katika barua yake na barua zingine. Ananena kwamba Mungu amekuwa mwema na kuwaokoa Wakristo kwani walimwamini Yesu. Kwa hivyo, baada ya wao kuwa Wakristo, walifaa kuishi maisha ya haki ili kuonyesha kwamba wana imani kwa Kristo. (See: rc://en/tw/dick/bible/kt/righteousou)
Paulo alisema mengi juu ya wokovu na kuishi kwa haki katika barua hii na katika barua zake nyingi. Alisema kuwa Mungu amekuwa na wema na kuwaokoa Wakristo kwa sababu wanaamini Yesu. Kwa hiyo, baada ya kuwa Wakristo, wanapaswa kuishi kwa njia ya haki ili kuonyesha kuwa wana imani katika Kristo. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous)
## Sehemu ya 3: Mambo makuu ya Utafsiraji
## Sehemu ya 3: Masuala muhimu ya Tafsiri
### Umoja na Wingi wa neno "wewe" ni "Nyinyi"
### "Wewe" kutumika kwa umoja na wingi
Katika kitabu hiki, neno "Mimi" limetumika kama "Paulo". Neno "Wewe" llimetumika kwa waumini wanaoisoma barua hii. Isipokuwa sehemu hizi tatu: 5:14, 6:2 na 6:3. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-you)
Katika kitabu hiki, neno "Mimi" linamaanisha Paulo. Neno "nyinyi" ni karibu kila mara na linawakilisha waumini ambao wanaweza kusoma barua hii, isipokuwa: 5:14, 6:2, na 6:3. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-you)
### Je, Paulo alimaanisha nini na "Upekee
When Paul spoke of the "new self" or the "new man," he meant the new nature that a believer receives from the Holy Spirit. This new nature was created in God's image (See: 4:24). The phrase "new man" is also used for God causing peace between Jews and Gentiles. God brought them together as one people that belong to him (See: 2:15).
Wakati Paulo alizungumza kuhusu "nafsi mpya" au "mtu mpya," alimaanisha hali mpya ambayo muumini anapokea kutoka kwa Roho Mtakatifu. Hali hii mpya iliumbwa kwa mfano wa Mungu (Angalia: 4:24). Maneno "mtu mpya" hutumiwa pia kwa ajili ya Mungu kuleta amani kati ya Wayahudi na Wayunani. Mungu aliwaunganisha kama watu mmoja ambao ni wake (Tazama: 2:15).
### Paulo alimaanisha nini na "nafsi mpya" au "mtu mpya"?
### What did Paul mean by the expressions "in Christ," "in the Lord," and others like them?
Wakati Paulo alizungumza kuhusu "nafsi mpya" au "mtu mpya," alimaanisha hali mpya ambayo muumini anapokea kutoka kwa Roho Mtakatifu. Hali hii mpya iliumbwa kwa mfano wa Mungu (Angalia: 4:24). Maneno "mtu mpya" hutumiwa pia kwa ajili ya Mungu kuleta amani kati ya Wayahudi na Wayunani. Mungu aliwaunganisha kama watu mmoja ambao ni wake (Tazama: 2:15)
This kind of expression occurs in 1:1, 3, 4, 6, 7, 9, 10, 11, 12, 13, 15, 20; 2:6, 7, 10, 13, 15, 16, 18, 21, 22; 3:5, 6, 9, 11, 12, 21; 4:1, 17, 21, 32; 5:8, 18, 19; 6:1, 10, 18, 21. Paul used these phrases to express the idea of a very close union between Jesus Christ and believers--that believers belong to Christ. Belonging to Christ means the believer is saved and is made a friend with God.
### Je, mawazo ya "takatifu" na "takasa" yanawakilishwa vipi katika Waefeso katika ULB?
These phrases also have specific meanings that depend on how Paul used them in a particular passage. Depending on the the context, the word “in” can mean “because of,” “by means of,” “that agrees with,” “in submission to,” “in the manner of,” or “in regard to.” The translator may represent those more immediate senses. But, if possible, it would be good for the translator to choose a word or phrase that represents both the immediate sense and the sense of “in union with.” (See: [[rc://en/tw/dict/bible/kt/inchrist]])
Maandiko hutumia maneno kama hayo ili kuonyesha yoyote kati ya mawazo mbalimbali. Kwa sababu hii, mara nyingi ni vigumu kwa watafsiri kuyawakilisha vizuri katika tafsiri zao. Katika kutafsiri kwa Kiingereza, ULB inatumia kanuni zifuatazo:
### What are the major issues in the text of the Book of Ephesians?
Wakati mwingine maana katika kifungu ina maana ya utakatifu wa maadili. Hasa muhimu kwa kuelewa injili ni matumizi ya "takatifu" kuonyesha ukweli kwamba Mungu anawaona Wakristo kama wasio na dhambi kwa sababu wameungana na Yesu Kristo. Matumizi mengine ya "takatifu" ni kueleza wazo kwamba Mungu ni mkamilifu na hana hatia. Matumizi ya tatu ni kueleza wazo kwamba Wakristo wanapaswa kuwa na mwenendo isiyo na hatia, na kasoro katika maisha yao. Katika hali hizi, ULB inatumia "takatifu," "Mungu mtakatifu," "watakatifu," au "watu watakatifu." (Angalia: 1:1, 4)
* "in Ephesus" (1:1). Some early manuscripts do not include this expression, but it is probably in the original letter. The ULB, UDB, and many modern versions include it.
* "because we are members of his body" (5:30). Most modern versions, including the ULB, read in this way. Some older translations read, "because we are members of his body and of his bones." Translators might decide to choose the second reading if other versions in their area have it that way. If translators choose the second reading, they should put the additional words inside square brackets ([]) to indicate that they are probably not original to the Book of Ephesians.
Wakati mwingine maana katika kifungu inaonyesha Wakristo bila kuashiria jukumu fulani wanalopaswa kufanya. Katika hali hizi, ULB inatumia "mwumini" au "waumini."
Wakati mwingine maana katika kifungu kinaashiria wazo la mtu au kitu kiichowekwa wakfu kwa Mungu pekee. Katika hali hizi, ULB inatumia "kutenga," "kukusudia," au "kuhifadhiwa kwa." (Angalia: 3:5)
UDB mara nyingi husaidia wakati watafsiri wanafikiri juu ya jinsi ya kuwakilisha mawazo haya katika tafsiri zao wenyewe.
### Je, Paulo alimaanisha nini kwa maneno "katika Kristo," "katika Bwana," nk?
Aina hii ya usemi hutokea katika 1:1, 3, 4, 6, 7, 9, 10, 11, 12, 13, 15, 20; 2:6, 7, 10, 13, 15, 16, 18, 21, 22; 3:5, 6, 9, 11, 12, 21; 4:1, 17, 21, 32; 5:8, 18, 19; 6:1, 10, 18, 21. Paulo alimaanisha kueleza wazo la muungano wa karibu sana kati ya Kristo na waumini. Tafadhali angalia utangulizi wa Kitabu cha Warumi kwa maelezo zaidi juu ya aina hii ya usemi.
### Je, ni masuala gani muhimu katika Kitabu cha Waefeso?
* "katika Efeso" (1:1). Kadhaa ya maandiko ya awali hayajajumuisha maneno haya, lakini labda yamo katika barua ya awali. ULB, UDB, na tafsiri nyingi za kisasa zinayajumuisha.
* "kwa sababu sisi ni viungo vya mwili wake" (5:30). Tafsiri nyingi za kisasa, ikiwa ni pamoja na ULB na UDB, husoma kwa njia hii. Baadhi ya matoleo ya zamani yanasoma, "kwa sababu sisi ni viungo vya mwili wake na mifupa yake." Watafsiri wanaweza kuamua kuchagua usomaji wa pili ikiwa matoleo mengine katika eneo lao yanafanana hivyo. Ikiwa watafsiri wanachagua usomaji wa pili, wanapaswa kuweka maneno ya ziada ndani ya mabano ya mraba ([]) ili kuonyesha kwamba labda asili yao sio Kitabu cha Waefeso.
(See: [[rc://en/ta/man/jit/translate-textvariants]])