Add 'php/04/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-25 18:24:55 +00:00
parent ef9a39e464
commit 61a663f89f
1 changed files with 19 additions and 0 deletions

19
php/04/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,19 @@
# Wafilipi 04 Maelezo kwa ujumla
### Dhana muhimu katika sura hii
#### "Furaha yangu na taji langu"
Paulo alikuwa amewasaidia Wafilipi kukomaa kiroho. Kwa sababu hiyo, Paulo alifurahia na Mungu akamheshimu na kazi yake. Aliazimia kufanya wafuasi wa Wakristo wengine na na kuwatia moyo wa kukua kiroho kama ilivyo muhimu katika maisha ya kikristu. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit and rc://en/tw/dict/bible/kt/disciple)
### Uwezekano mwingine wa utata katika tafsiri ya sura hii
#### Euodia na Sintike
Ni wazi kwamba hawa wanawake wawili walitofautiana. Paulo aliwasihi waelewane. Walichotofautiana siyo muhimu. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)
## Links:
* __[Philippians 04:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../03/intro.md) | __