From 61a663f89f48f7949086b203a5ccd3324276e553 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: Rick Date: Tue, 25 May 2021 18:24:55 +0000 Subject: [PATCH] Add 'php/04/Intro.md' --- php/04/Intro.md | 19 +++++++++++++++++++ 1 file changed, 19 insertions(+) create mode 100644 php/04/Intro.md diff --git a/php/04/Intro.md b/php/04/Intro.md new file mode 100644 index 0000000..71a8ba6 --- /dev/null +++ b/php/04/Intro.md @@ -0,0 +1,19 @@ +# Wafilipi 04 Maelezo kwa ujumla + +### Dhana muhimu katika sura hii + +#### "Furaha yangu na taji langu" + +Paulo alikuwa amewasaidia Wafilipi kukomaa kiroho. Kwa sababu hiyo, Paulo alifurahia na Mungu akamheshimu na kazi yake. Aliazimia kufanya wafuasi wa Wakristo wengine na na kuwatia moyo wa kukua kiroho kama ilivyo muhimu katika maisha ya kikristu. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit and rc://en/tw/dict/bible/kt/disciple) + +### Uwezekano mwingine wa utata katika tafsiri ya sura hii + +#### Euodia na Sintike + +Ni wazi kwamba hawa wanawake wawili walitofautiana. Paulo aliwasihi waelewane. Walichotofautiana siyo muhimu. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit) + +## Links: + +* __[Philippians 04:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../03/intro.md) | __ \ No newline at end of file