Add 'rev/07/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-09 18:12:08 +00:00
parent c8f5fbf99e
commit 48f4c12c08
1 changed files with 33 additions and 0 deletions

33
rev/07/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,33 @@
# Ufunuo 07 Maelezo ya jumla
### Muundo na mpangilio
Wasomi wengi wanaamini kwamba nusu ya kwanza ya sura hii inahusu uamusho mkuu miongoni mwa Waisraeli ambapo watu 144,000 watakuja kumuamini Yesu. Nusu ya pili ya sura hii inatuelezea uamusho mkuu miongoni mwa watu wa Mataifa ambapo watu wasiohesabika watakuja kumuamini Yesu. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/believe]] na [[rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 7:5-8, 15-17
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Kuabudu
Watu kwenye sura hii wanaitikia matukio haya kwa kutubu na kuabudu.Hiki ndicho kiitikio cha kweli cha habari iliyoko katika kitabu hiki.(Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/reveal]], [[rc://en/tw/dict/bible/kt/repent]] na [[rc://en/tw/dict/bible/kt/worship)
#### Dhiki kuu
Hiki ni kipindi ambacho watu wa duniani wataadhibiwa vikali na Mungu. Kuna kutoelewana kuhusu kipindi hiki lakini wasomi wengi wanaamini kwamba hiki ni kipindi cha nusu ya mwisho ya miaka saba ya dhiki kuu inayotabiriwa katika Ufunuo 4-19 na katika sehemu zinginezo za maandiko.
### Mifano muhimu ya usemi
#### Sauti isiyo hai
Sauti isiyo hai imetumika mara nyingi katika sura hii kuficha utambulisho wa anayefanya hilo tendo. Itakuwa ngumu kuakilisha hili iwapo lugha ya mtafsiri haina sauti isiyo hai. (Tazama:rc://en/ta/man/translate/figs-activepassive)
#### Mifano
Mwandishi anatumia tmifano nyingi. Hii ni kwa sababu anajaribu kufafanua mifanoanayoona kwenye maono. Kwa hivyo analinganisha mifano katika maono haya na vitu vya kawaida. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-simile)
## Links:
* __[Revelation 07:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../06/intro.md) | [>>](../08/intro.md)__